У нас вы можете посмотреть бесплатно KUMEKUCHA ! SAKATA LA VIGODORO LAMFIKIA WAZIRI GWAJIMA NA ATOA TAMKO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amepiga marufuku mila na desturi zinazochochea mmomonyoko wa maadili wilayani Korogwe, hususan michezo ya hadhara ya "vigoma na vigodoro" inayodaiwa kuharibu makuzi ya watoto. Dkt. Gwajima ametoa marufuku hiyo katika ziara yake ambapo aliendesha mjadala wa wazi na wananchi wa Kata ya Mnyuzi ambao wameunga mkono azimio la kukomesha vitendo hivyo mara moja ili kulinda nidhamu na utamaduni wa Taifa #live #habarisasa