У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
🔴#LIVE: RAIS MWINYI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE kuhusu GHOROFA LILILOANGUKA na KUUA ZANZIBAR.. Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar ameazimia kuunda tume maalum kwaajili yakupata ufumbuzi wa Sababu zilizopelekea jengo la House of Wonders (Beit Al Ajaib) kuanguka, pamoja na kuepusha maafa mbalimbali katika eneo la mji mkongwe. Dkt Mwinyi ameyasema hayo wakati alipokutana na wadau wa mji mkongwe huko visiwani Zanzibar. Aidha Dkt Mwinyi amewaomba wadau mbalimbali kujitokeza Ili kuunga mkono juhudi za kuuhifadhi vizuri mji mkongwe wa Zanzibar ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline