У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kufuatilia mfululizo wa masomo mbalimbali katika mkutano unaorushwa mbashara kutoka katika kanisa la Waadventista wa Sabato Nyahanga - Kahama, huku neno kuu la #mahubiri haya likiwa ni #YATOSHA JANGWANI, kuanzia tarehe 11/05 - 02/06 kila siku saa 11:00 - 02:00 jioni, usipange kukosa huku masomo ya Afya ya akili, Masomo ya Watoto, Masomo ya Uchumba, mahusiano, ndoa na Malezi pamoja na Mafundisho makuu yatafundishwa. WAHUDUMU PR. MAGULILO MWAKALONGE - MAFUNDISHO MAKUU BI. DEBORA URIO - FAMILIA DR. PASCAL KANG'IRIA - AFYA YA AKILI ELD. DANIEL BULENGELA - MAFUNDISHO YA WATOTO #suasdachurch #atapekahamanetevent2024 #yatoshajangwani #sdachurch #sdasermon#afyayaakili #mahusiano #sda #family #live #livestream #livestreaming Follow us on Instagram, Twitter and Facebook as SUA SDA CHURCH Subscribe for More Information Call : +255 756 846 870