У нас вы можете посмотреть бесплатно Magoli yote 9 ya Stephane Aziz Ki kwenye NBC Premier League 2022/23 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAGOLI YA AZIZ KI: Enjoy magoli yote tisa (9) kutoka kwa kiungo wa Yanga, Stephane Aziz Ki aliyoyafunga kwenye Ligi Kuu ya NBC msimu uliomalizika 2022/23; Yamo mawili ya penati na mawili ya ‘free-kick’. Je, unajua utamu wa magoli haya uko wapi? 1. Magoli yote tisa yamefungwa kwa guu la kushoto. 2. Ukiacha magoli mawili ya penati; Magoli mengine saba yamefungwa kutoka nje ya boksi boksi la 18. 3. Magoli matatu yametokana na makosa binafsi ya magolikipa… 4. Penati zote mbili ni dhidi ya Kagera Sugar. 5. Goli moja la free-kick ni dhidi ya ‘mtani’. 6. Mtibwa Sugar ameifunga nyumbani na ugenini. 7. Imo #hattrick moja. 8. (...na wewe ongeza ulichokiona) #AzizKi #AzizKiGoals #MagoliYaAzizKi #YangaSC #NBCPremierLeague #NBCPL