У нас вы можете посмотреть бесплатно Mathayo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika video hii nimeeleza kuhusu 2 Corinthians 5:19 MPENDWA kama jina la YESU ni jina la MUNGU sasa Maana yake Yesu ni MUNGU. KWANINI Yesu ni MUNGU. Vyeo vya Maagizo katika MATHAYO 28:19 kuwabatiza watu kwa jina la Baba , mwana na Roho mtakatifu. Cheo Baba. Yohana 17:11-12 Cheo Mwana. Wakolosai 2: 2 na 9 Chao cha Roho Mtakatifu Yohana 16:7-15. Ufahamu mwa Maombi Lolote muombalo Baba Kwa jina langu atawapeni Yohana 15:16. Yohana 16:24 “hata sasa hamkuomba neno Kwa jina langu” Hauna Haja ya Kuomba Kwa jina la Baba na mwana na Roho Mtakatifu sababu Baba ana jina, mwana ana jina na Roho Mtakatifu anajina. Yaani ni umoja. Jina lenyewe Ambalo ni YESU. Wokovu na Haki ni katika jina la YESU Matendo ya Mitume 4:12 Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo