У нас вы можете посмотреть бесплатно 40 ZA NYOKA "MNYWA UJI" ZAHESABIKA,ASKARI WA MALIASILI WAMSAKA KWA BUNDUKI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#CgOnlineTv Juhudi za kumuondoa nyoka aina ya Koboko maarufu kama 'Nyoka mnywa uji' anaedaiwa kuishi katika mti wa mwembe maeneo ya Mlimani City Luanzari kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora zimeanza. Askari wa maliasili wamefika katika eneo hilo ili kumuondoa nyoka huyo katika hatua ya kwanza wamechoma matairi na kupiga baruti lakini nyoka huyo anaedaiwa kujenga makazi katika pango la mti huo hajajitokeza. Kwa mujibu wa wananchi wa eneo hilo nyoka huyo hutoka asubuhi na kurejea jioni katika mti huo na kwamba kwa siku za hivi karibuni amewika mfululizo baada ya mvua kubwa kunyesha. Askari wamewataka wananchi kutoa taarifa iwapo watasikia sauti ya nyoka huyo akiwika ili hatua nyingine ya kumuondosha ianze mara moja.