У нас вы можете посмотреть бесплатно RUBANI NEEMA SWAI ATOBOA SIRI ya MAFANIKIO YAKE, AWEKA REKODI HII TANGU TANZANIA IPATE UHURU.. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RUBANI NEEMA SWAI ATOBOA SIRI ya MAFANIKIO YAKE, AWEKA REKODI HII TANGU TANZANIA IPATE UHURU... Tangu Juni 3, 2023, jina la mwanamke Neema Swai limekuwa maarufu mno nchini Tanzania na kwenye uga wa usafirishaji wa ndege. Hii ni baada ya kuweka rekodi ya kufanikiwa kuishusha nchini Tanzania ndege mpya ya mizigo ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya BOEING 767-300F AIR TANZANIA CARGO kutoka Marekani na kupokelewa jijini Dar es Salaam na Rais Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wa juu wa Serikali. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba tani 54 imekuwa gumzo kwa kuwa kiongozi wa kuileta nchini ni Kapteni Neema Swai ambaye ni mwanamke aliyeweka rekodi ya tangu Tanzania ipate uhuru Desemba 9, 1961 ya kuirusha ndege hiyo kutoka Seattle nchini Marekani kuja Tanzania... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx