У нас вы можете посмотреть бесплатно Mikononi_The Clarion Call Ministry или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Written and composed: Iz.Olivier Audio Producer : Cholet Patrick Instrumental : Mpano Elysee Video Director : Cyusa Osee Translater : Happiness Josiah Kinyarwanda Version(Ibiganza) • Ibiganza_The Clarion Call Ministry_Of... Other digital platforms https://open.spotify.com/artist/1fnaj... https://www.boomplay.com/artists/4676... / theclarionc. . / theclarioncal. . If you want to support the ministry!, may contact +250780602404 Verse 1: Ile mikono iliyochomwa misumari Sasa inataka kumponya aloichoma Si ya kimwili pekee bali na magoniwa Ya kiroho yaloshindikana Hata mfu afufuliwa Oohhh Chorus: Kuna nguvu katika mikono ya Yesu Katika hiyo hakuna lisilowezekana Amgusaye hupona yote kimwili na kiroho 'Kimfuata kwa imani, atakugusa na akuumbe upya. Verse 2: Wakati ule nilipopoteza matuamaini Mikono iliniinua ‘Kilemewa na dunia, Tafuta kuguswa nayo mikono Iponyayooo Hautasumbuka tena Chorus: Kuna nguvu katika mikono ya Yesu Katika hiyo hakuna lisilowezekana Amgusaye hupona yote kimwili na kiroho 'Kimfuata kwa imani, atakugusa na akuumbe upya. Bridge: Iliponya vipofu Ikaponya wakoma Ilifufua wafu Ikalisha maelfu Mtini iliwambwa Na dhoruba kali inaituliza Chorus: Kuna nguvu katika mikono ya Yesu Katika hiyo hakuna lisilowezekana Amgusaye hupona yote kimwili na kiroho 'Kimfuata kwa imani, atakugusa na akuumbe upya. Akuumbe upya(x3)....................