• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali скачать в хорошем качестве

JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali 7 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali

JPM Amewataja Hadharani Matajiri Wanaoibia serikali RAIS Dkt. John Magufuli amesema wapo wafanyabiashara wakubwa nchini ambao wamekuwa wakikwepa kodi kwa kupitia makontena wanayoingiza na wengine kupitia njia za mipakani kupeleka biashara zao nje ya nchi. Magufuli amesema hayo leo wakati akizungumza na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Wakuu wa Mikoa nchi nzima katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam na kusema majina yao anayo lakini anashangazwa na TRA kutochukua hatua sitahiki. “Nawataka TPA, TRA, polisi na Idara ya uhamiaji mjirekebishe, vipo vitendo vingi vya kukwamisha wawekezaji naomba mlifanyie kazi. TRA toeni adhabu kwa wakwepa kodi ilimradi msiwaonee na hili litakuwa rahisi tu endapo mtapunguza viwango vya kodi watakuja wenyewe kulipa. “Wapo watu wamekuwa wakikwepa kodi, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tarafa wote mpo. Wakati mwingine naonaga kidogo kwenye TV mmekamata watu, ila najua ile mnafanyajaga kujitangaza kuwa mpo, baada ya muda hali inarudi ile ile. “Mimi nina majina ya wafanyabiashara wa Kariakoo ambao wanaingiza bidhaa zao bila kulipa kodi kwenye mipaka yetu na wanashirkiana na vyombo vya dola nashangaa wakuu wa wilaya na mikoa hamuwajui. yupo mmoja jina linaishia na ‘AGENCY’, mwingine ‘O’. “Yupo mfanyabiashara kule Mwanza, halipi kodi na anapitisha magari hata 10 kwa siku moja. Wapo wafanyabiashara wengine wawili wao huleta makontena hadi 700 Kariakoo kwa mwak kisha wanawauzia wengine. Nashangaa TRA, RC Dar hamuwajui. #RAISMAGUFULI #TRA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...

Comments
  • MAGUFULI AMVAA KICHERE, AMTAJIA MAKOSA ALIYOFANYA 6 лет назад
    MAGUFULI AMVAA KICHERE, AMTAJIA MAKOSA ALIYOFANYA "NITAKUTUMBUA TENA"
    Опубликовано: 6 лет назад
  • RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU 9 лет назад
    RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU
    Опубликовано: 9 лет назад
  • Rais Magufuli aimbana TRA, Wizara ya Fedha, ataka majibu 7 лет назад
    Rais Magufuli aimbana TRA, Wizara ya Fedha, ataka majibu
    Опубликовано: 7 лет назад
  • Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe  Paul Makonda akiwa kwenye kipindi cha The Mboni Show 10 лет назад
    Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda akiwa kwenye kipindi cha The Mboni Show
    Опубликовано: 10 лет назад
  • Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam 9 лет назад
    Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam
    Опубликовано: 9 лет назад
  • Rais Magufuli amuweka kati RC, DC na Mkurugenzi akijibu kero za Wananchi Трансляция закончилась 7 лет назад
    Rais Magufuli amuweka kati RC, DC na Mkurugenzi akijibu kero za Wananchi
    Опубликовано: Трансляция закончилась 7 лет назад
  • TRA HATARINI | Wapewa TUMBO JOTO Mbele Ya JPM 6 лет назад
    TRA HATARINI | Wapewa TUMBO JOTO Mbele Ya JPM
    Опубликовано: 6 лет назад
  • MELI 3 za MAREKANI na UINGEREZA ZASHAMBULIWA KATIKA MLANGO wa HORMUZ - IRAN IKIONGEZA MASHAMBULIZI 3 часа назад
    MELI 3 za MAREKANI na UINGEREZA ZASHAMBULIWA KATIKA MLANGO wa HORMUZ - IRAN IKIONGEZA MASHAMBULIZI
    Опубликовано: 3 часа назад
  • Rais Magufuli alivyojibu maswali ya waandishi wa habari akiwa Waziri wa Ujenzi 6 лет назад
    Rais Magufuli alivyojibu maswali ya waandishi wa habari akiwa Waziri wa Ujenzi
    Опубликовано: 6 лет назад
  • HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUWAAPISHA WAKUU WA MIKOA, MAKATIBU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU 8 лет назад
    HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUWAAPISHA WAKUU WA MIKOA, MAKATIBU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU
    Опубликовано: 8 лет назад
  • Vigogo 3 wa TRA wameachiwa kwa dhamana iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania. 10 лет назад
    Vigogo 3 wa TRA wameachiwa kwa dhamana iliyotolewa na mahakama kuu ya Tanzania.
    Опубликовано: 10 лет назад
  • Rais Magufuli Na Wizi Unaofanywa Na Wawekezaji Nchini 8 лет назад
    Rais Magufuli Na Wizi Unaofanywa Na Wawekezaji Nchini
    Опубликовано: 8 лет назад
  • Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha Nov. 6, 2015 10 лет назад
    Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla Wizara ya fedha Nov. 6, 2015
    Опубликовано: 10 лет назад
  • MAGUFULI AMPA ONYO KALI CAG MPYA 6 лет назад
    MAGUFULI AMPA ONYO KALI CAG MPYA "USIJIFANYE MHIMILI, MIMI NDO MWENYE SERIKALI"
    Опубликовано: 6 лет назад
  • Rais Magufuli alivyompigia simu Makonda katikati ya mkutano 9 лет назад
    Rais Magufuli alivyompigia simu Makonda katikati ya mkutano
    Опубликовано: 9 лет назад
  • RAIS MAGUFULI AOKOA MILIONI 320 KWA MILIONI 5 6 лет назад
    RAIS MAGUFULI AOKOA MILIONI 320 KWA MILIONI 5 "UKIFANYA MAZURI UNAFUKUZWA"
    Опубликовано: 6 лет назад
  • Kitu JPM amewaambiwa Wafanyabiashara baada ya kuwaita IKULU 8 лет назад
    Kitu JPM amewaambiwa Wafanyabiashara baada ya kuwaita IKULU
    Опубликовано: 8 лет назад
  • Rais Magufuli aweka wazi Sababu za kuivunja bodi ya TRA 9 лет назад
    Rais Magufuli aweka wazi Sababu za kuivunja bodi ya TRA
    Опубликовано: 9 лет назад
  • Rais Magufuli aagiza TRA kumlipa fidia mfanyabiashara aliyelazimishwa kutoa rushwa 6 лет назад
    Rais Magufuli aagiza TRA kumlipa fidia mfanyabiashara aliyelazimishwa kutoa rushwa
    Опубликовано: 6 лет назад
  • RAIS MAGUFULI ALIVYO MFUKUZA MTU KAZI IKULU “MSUKUMA” 5 лет назад
    RAIS MAGUFULI ALIVYO MFUKUZA MTU KAZI IKULU “MSUKUMA”
    Опубликовано: 5 лет назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5