• ClipSaver
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AFAFANUA KAULI YA SERIKALI KUNUNUA UMEME ETHIOPIA скачать в хорошем качестве

KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AFAFANUA KAULI YA SERIKALI KUNUNUA UMEME ETHIOPIA 2 months ago

video

sharing

camera phone

video phone

free

upload

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AFAFANUA KAULI YA  SERIKALI KUNUNUA UMEME ETHIOPIA
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AFAFANUA KAULI YA SERIKALI KUNUNUA UMEME ETHIOPIA в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AFAFANUA KAULI YA SERIKALI KUNUNUA UMEME ETHIOPIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AFAFANUA KAULI YA SERIKALI KUNUNUA UMEME ETHIOPIA в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AFAFANUA KAULI YA SERIKALI KUNUNUA UMEME ETHIOPIA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Felchesmi Mramba ametoa Ufafanuzi zaidi kuhusu hatua ya Serikali kununua Umeme nchini Ethiopitia kupitia Nchini Kenya hadi Namanga Mkoani Arusha utaimarisha Upatikanaji wa Umeme katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini ambayo kimsingi kwa sasa inatumia umeme unaozalishwa katika Mikoa ya Kusini. Akizungumza na waandishi wa Habari leo tarehe 10, Machi 2025 Jijini Dar es Salaam Mha. Mramba amesema ununuzi wa Umeme kutoka nchi Jirani haimaanishi kuwa nchi iko katika changamoto ya upungufu wa umeme kwa kuwa mpaka sasa Tanzania inazalisha umeme wa kutosha ambao ni Takribani Megawati 3796. Amefafanua kuwa hatua hii ina faida kwa pande zote mbili kwa kuwa njia itakayotumiwa kununua umeme nchini Ethiopia ndio hiyo itakayotumiwa kuuza umeme kwa nchi zenye Uhitaji. Akifafanunua zaidi amesema kuwa jinsi umeme utakavyokuwa ukinunuliwa, umeme wa Ethiopia utaingizwa kwenye mfumo wa Gridi ya Kenya na kisha Kenya itatoa umeme kuja Tanzania ikifidia umeme ulioingizwa kutoka nchini Ethiopia. ‘’Makubaliano haya yako ya pande mbili kuna wakati sisi tutanunua umeme na kuna wakati tutatumia njia hiyo hiyo kuuza umeme kwa nchi jirani, tunavyoangalia hali ya Kaskazini kwa sasa tunaona sisi tutachukua zaidi kuliko kupeleka lakini kuna wakati na wenyewe wanaweza wakahitaji umeme na tutatumia njia hiyo hiyo kuwapelekea” Ameongeza kuwa kununua na kuuziana umeme kwa nchi si jambo geni na Tanzania kwa muda mrefu imekuwa ikinunua umeme nchini Uganda kwa ajili ya Mkoa wa Kagera, nchini Zambia kwa ajili ya Mkoa wa Rukwa na nchini Kenya kwa baadhi ya maeneo ya mkoa wa Tanga hususani ya mpakani. Aidha, amesema kuwa Tanzania inaendelea na ujenzi wa njia ya Kusafirisha umeme kutoka Tanzania Kwenda Zambia, ambapo kukamilika kwa Mradi huo kutatoa fursa kwa Tanzania kuuza umeme kwa nchi za Kusini mwa Afrika. Kuhusu Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere ambalo mpaka sasa limefikia asilimia 99.8 kukamilika amesema limekua na mchango mkubwa wa upatikanaji wa umeme katika maeneo mbalimbali nchini. “Kule Julius Nyerere sasa hivi tunatumia umeme tunaouhitaji, kama mahitaji yetu sisi ni Megawati 1908 kwenye Gridi ya Taifa hatuwezi kuzalisha zaidi kwa kuwa umeme utakua hauna matumizi” Pamoja na hayo Mh. Mramba ameeleza kuwa Tanzania imejiunga katika masoko ya Pamoja ya kuuziana umeme ya Ukanda wa Mashariki mwa Afrika (Eastern Africa Power Pool-EAPP) na Kusini mwa Afrika (Southern African Power Pool-SAPP) ambapo kwa upande wa Kusini mwa Afrika soko lilishaazishwa na linafanya kazi kwa nchi ambazo tayari miundombinu ilishakamilika na kwa sasa Tanzania inaendelea na utekelezaji wa Mradi wa TAZA ambao kukamilika kwake kutaifanya Tanzania kutumia fursa ya umeme wa unaozalishwa kwenye Bwawa la Julius Nyerere na vyanzo vingine na kuanza kuuza umeme ukanda wa kusini mwa Africa (SAPP). Hivyo lengo kuu la kuuza au kununua umeme ni kuimarishwa kwa mifumo ya Gridi za Umeme za nchi husika pamoja na kupunguza gharama.Kwa kuzingatia jiografia ya Tanzania itatumia nafasi ya masoko haya ya umeme kununua na kuuza umeme kutoka ukanda wa Mashariki na kusini mwa Afrika. Serikali kupitia Wizara ya Nishati inaendelea kuhakikisha kunakuwepo na miundombinu imara itakayowezesha manunuzi na mauziano ya umeme ndani ya ukanda wa EAPP pamoja na ukanda wa SAPP ili Tanzania inufaike kwa kuuza na kununua umeme lakini pia kuingiza fedha zitokanazo na gharama za kupitishia umeme kutoka ukanda mmoja kwenda mwingine. Wakati Miradi mbalimbali ikiendelea kutekelezwa kwa kasi kubwa, kuingiza umeme Ukanda wa Kaskazini kuna faida kubwa ikiwa ni pamoja na kuimarisha hali ya upatikanaji umeme kwenye mikoa

Comments
  • TSMC’s New Arizona Fab! Apple Will Finally Make Advanced Chips In The U.S. 4 months ago
    TSMC’s New Arizona Fab! Apple Will Finally Make Advanced Chips In The U.S.
    Опубликовано: 4 months ago
    2618057
  • What is the future of working from home? - The Global Story podcast, BBC World Service 2 months ago
    What is the future of working from home? - The Global Story podcast, BBC World Service
    Опубликовано: 2 months ago
    917406
  • Why the US has birthright citizenship 2 months ago
    Why the US has birthright citizenship
    Опубликовано: 2 months ago
    1637172
  • Will Australia's social media ban for under-16s work? - The Global Story podcast, BBC World Service 4 months ago
    Will Australia's social media ban for under-16s work? - The Global Story podcast, BBC World Service
    Опубликовано: 4 months ago
    637440
  • UFAFANUZI WA KUNUNUA UMEME ETHIOPIA LICHA KUWA NA MRADI WA BWAWA LA NYERERE 2 months ago
    UFAFANUZI WA KUNUNUA UMEME ETHIOPIA LICHA KUWA NA MRADI WA BWAWA LA NYERERE
    Опубликовано: 2 months ago
    31761
  • WAKILI AELEZA JUU YA KILICHOTOKEA KWA ALLY KAMWE, JE, SHERIA INASEMAJE? 1 month ago
    WAKILI AELEZA JUU YA KILICHOTOKEA KWA ALLY KAMWE, JE, SHERIA INASEMAJE?
    Опубликовано: 1 month ago
    36555
  • MAJIMBO 8 MAPYA YA UCHAGUZI YATANGAZWA RASMI | TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAWEKA WAZI MIKOA 5 6 hours ago
    MAJIMBO 8 MAPYA YA UCHAGUZI YATANGAZWA RASMI | TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YAWEKA WAZI MIKOA 5
    Опубликовано: 6 hours ago
    1437
  • ASIMULIA ALIVYOKAA JELA MIAKA 9 KISA MAUAJI “NILIMUAZIMA GHETTO RAFIKI YANGU AKAMUUA MPENZI WAKE 2 years ago
    ASIMULIA ALIVYOKAA JELA MIAKA 9 KISA MAUAJI “NILIMUAZIMA GHETTO RAFIKI YANGU AKAMUUA MPENZI WAKE"
    Опубликовано: 2 years ago
    224767
  • Food Safety 101 | What is HACCP? The 7 Principles of HACCP explained 6 months ago
    Food Safety 101 | What is HACCP? The 7 Principles of HACCP explained
    Опубликовано: 6 months ago
    8442
  • HII NDIYO HISTORIA ILIYOTUKUKA YA UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA CHINA 6 years ago
    HII NDIYO HISTORIA ILIYOTUKUKA YA UHUSIANO KATI YA TANZANIA NA CHINA
    Опубликовано: 6 years ago
    1799

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS