У нас вы можете посмотреть бесплатно Mbunge wa Ngorongoro Acharuka, "Kama Hamtaki Watu Ngorongoro Semeni Kuliko Kuwatesa" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mbunge wa jimbo la Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangay amehoji kuwa kama zoezi la kuhamisha wananchi wa tarafa ya Ngorongoro ni la hiyari, kwa nini Serikali imekuwa ikiweka vikwazo kwa wakazi hao tangu mwaka 2022 kama vile kuwasitishia wananchi hao takribani 100,000 baadhi ya huduma za kijamii. Ole Shangay amehoji hayo wakati akichangia hoja Bungeni wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/25, ambapo ametishia kushikiliza shilingi endapo hatapatiwa majibu kuhusu suala hilo.