У нас вы можете посмотреть бесплатно UJE BWANA KUTUOKOA - JOSEPH MAKOYE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu mpenzi mtazamaji wa Chanell yetu ya Kwaya ya Familia Takatifu kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Leo tunakuletea nyimbo mbalimbali tulizoimba katika Ibada ya Misa Takatifu iliyofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Yohane mtume na Mwinjili Tegeta katika kushirikiana na kuwaunga mkono ndugu zetu wa kwaya ya Damu Takatifu ya Yesu katika uzinduzi wa Album yao mpya. Endelea kutazama na usisahau KUSUBSCRIBE NA KUSHARE CHANEL YETU. Mungu akubariki. Maneno ya wimbo UJE BWANA KUTUOKOA /:Uje uje uje Bwana kutuokoa:// 1.Huishikwa kweli milele, huwafanyia hukumu wote walioonewa, Bwana huwafungua waliofungwa. 2.Bwana huwafumbua macho waliopofuka; Huwainua walioinama, Bwana huwapenda wenye haki, Bwana huwahifadhi, huwahifadhi wageni. 3.Huwategemeza yatima na mjane ba,i njia ya wasio haki huipotosha; Bwana atamiliki milele Mungu wako ee Sayuni.