У нас вы можете посмотреть бесплатно UTEKELEZAJI WA MRADI WA HEET KATIKA CHUO KISHIRIKI CHA ELIMU DAR ES SALAAM (DUCE) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu ujifunze zaidi kuhusu jinsi Mradi wa HEET (Higher Education for Economic Transformation) unavyobadilisha sekta ya elimu ya juu nchini Tanzania! Katika video hii, tunaangazia maendeleo makubwa yanayofanyika katika Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) kupitia ujenzi wa miundombinu mipya, teknolojia za kisasa za kufundishia, na fursa za utafiti. Jifunze jinsi DUCE inavyojiandaa kuboresha elimu na kutoa wahitimu wenye sifa zinazohitajika kuchangia katika maendeleo ya kiuchumi nchini. Usisahau ku-like, ku-share, na ku-subscribe kwa maudhui zaidi yanayoangazia miradi ya elimu na maendeleo Tanzania! #DUCEnizaidiyaualimu, #proudlyduce, #HEET #DUCE