У нас вы можете посмотреть бесплатно Watu sita wa familia moja wauawa kikatili kwa mapanga Kigoma или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu sita wa familia moja katika Kijiji cha Kiganza, wilaya ya Kigoma wameuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Julai 3, 2022 huku wauaji wakimuacha hai mtoto mchanga wa miezi mitatu na kumjeruhi mtoto mwingine James Januari (4). Kwa mujibu wa RPC wa Kigoma, ACP Menrad Sindano, wauaji walitumia kitu chenye ncha kali kuwajeruhi wanafamilia hao sehemu mbalimbali za miili yao na kuwasababishia kifo. Sababu ya mauaji hayo ya kikatili haijafamika na polisi inaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. #AzamTVUpdates #AzamNews