У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI MKUU AKATAA KUZINDUA MRADI LEO WILAYANI LIWALE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amekataa kuzindua mradi wa barabara ya kiwango cha Lami yenye urefu wa km 1.2 iliyopo kijiji cha Muungurumo kata ya Liwale Mjini wilayani Liwale mkoani Lindi leo kwa kile alichosema barabara hiyo inatakiwa kuwa na taa. Waziri mkuu anendelea na ziara ya kukagua miradi mbalimbali mkoani Lindi. KARIBU COM TV , Television ya Mtandaoni ambayo imejidhatiti katika kuakikisha unapata habari ,Matukio ,Burudani za ndani na nje ya Tanzania kwa uharaka na uwakika. Unaweza kutupata kwenye mitandao ya kijamii kama hivi INSTAGRAM : https://www.instagram.com/p/CPIn1ZNhB... #COM TV #Comtv #Com Tv #LINDI #Tanzania #Liwale #habari #michezo #COM TV #Comtv #Com Tv #COM TV, #Comtv, #Com Tv