У нас вы можете посмотреть бесплатно SHAMRASHAMRA ZA MWENGE WA UHURU WILAYA YA KAKONKO 2025 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Siku ya tarehe 15/09/2025 ilikuwa ya kipekee kwa wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko. Wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya kakonko Kanali Evance Mallasa, mamia kwa maelfu ya wakazi wa Wilaya hiyo walijitokeza kwa wingi katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru na kisha kushiriki katika mkesha uliofanyika katika kata ya Kasanda Wilayani Kakonko. Ukiwa Wilayani Kakonko Mwenge wa Uhuru ulitembelea, Kukagua na kuweka mawe ya msingi katika miradi saba ya maendeleo ukiwemo Mradi wa Ujenzi wa Soko jipya la kisasa la walaji Kakonko mjini. Akizungumza mara baada ya ziara hiyo ya Mwenge, Kiongozi wa mbio za mwenge Kitaifa ndugu Ismail Ali Usi aliwapongeza wananchi wa Wilaya ya Kakonko pamoja na Viongozi wao kwa usimamizi na utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo jambo lililofanikisha miradi hiyo kutekelezwa kwa wakati nan ubora wa hali ya juu.