У нас вы можете посмотреть бесплатно MAHAKAMA YA IRINGA YAKAMILISHA MAANDALIZI YA SIKU YASHERIA, WANANCHI WALIA NA LUGHA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAHAKAMA YA IRINGA YAKAMILISHA MAANDALIZI YA SIKU YASHERIA, WANANCHI WALIA NA LUGHA YA KINGEREZA MAHAKAMANI. Kuelekea Siku ya Sheria nchini, wananchi mkoani Iringa wameombwa kujitokeza kwa wingi katika viwanja vya mahakama ili kujifunza jinsi ya kupata haki na kufahamu utendaji kazi wa mahakama yao Wito huo umetolewa na Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, Dunstan Ndunguru, alipokuwa akizungumza na Abood TV kuhusu maandalizi ya kuelekea siku hiyo, ambayo hufanyika kila mwaka Februari 2. Jaji Ndunguru amesema kuwa ni fursa muhimu kwa wananchi kushuhudia kazi zinazofanywa na mahakama katika kutafsiri sheria na kufanikisha haki kwa jamii. Nao baadhi ya wananchi wameitaka Serikali kuangalia uwezekano wa kubadilisha lugha ya uendeshaji wa kesi kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili, ili wananchi waliowengi waweze kuelewa na kushiriki kikamilifu katika michakato ya kisheria. Maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini hufanyika kila mwaka Februari 2, huku mwaka huu yakibebwa na kauli mbiu isemayo “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa”.