У нас вы можете посмотреть бесплатно Kundi la Keekonyokei la lalamikia uvamizi wa ardhi yao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wanachama wa kundi la malisho la Keekonyokei, katika kaunti ya kajiado wanaitaka Idara ya upelelezi wa Jinai DCI kuchunguza namna tume ya ardhi ilivyoidhinisha ugavi wa ekari 2,800 za ardhi yao kwa watu wenye vyeo vikuu na ushawishi mkubwa serikalini. Wakizungumza kwenye mkutano uliojaa hisia na majonzi tele katika eneo la Kibiko, wakazi hao wanasema watu 718 kupitia njia za makato waligawiwa ardhi hiyo, huku maafisa wa kuu katika Mamlaka ya kuangazia utendakazi wa Polisi IPO, Mbunge mmoja, Madiwani wa zamani pamoja na watu wengine wakuu serikalini wakitajwa kunufaka na sakata hiyo. Aidha waziri wa ardhi katika kaunti ya Kajiado Hamilton Parsaina anasema ugavi wa ardhi hiyo haukufuata taratibu zinazohitajika, kwani mbali na mzozo kuhusu ardhi hiyo kuwepo mahakamani, pia Serikali ya kaunti haijaidhinisha ugavi wa shamba hilo.