У нас вы можете посмотреть бесплатно Safaricom Yavamiwa na Wakenya: “Mnauza Siri Zetu?” – Video Yazua Maswali! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wakenya wamevamia mitandao ya kijamii kwa hasira kubwa wakilalamika dhidi ya Safaricom baada ya huduma za M-Pesa, simu na mtandao kulemewa kwa masaa mengi. Lakini sasa swali kubwa zaidi limeibuka: Je, Safaricom inauza siri na taarifa binafsi za wateja wake kwa DCI na watu wengine bila ruhusa? Katika video hii tumekusanyia kauli kali kabisa kutoka kwa wananchi waliojitokeza kuonyesha hasira zao. Baadhi wanasema pesa zao si salama, wengine wakidai kuwa Safaricom inalinda wahalifu huku ikivunja faragha ya wananchi. Mjadala huu umetikisa Kenya na hata kuibua maswali kwa Watanzania na Wakenya walioko diaspora – je, bado Safaricom ni chaguo sahihi kwa huduma za mawasiliano na fedha? 👉 Tazama video hii hadi mwisho kusikia sauti za wananchi na kushiriki mjadala huu muhimu kwa mustakabali wa mawasiliano Afrika Mashariki. Usisahau ku-subscribe MIZUKA MEDIA kwa habari kali za mastaa, siasa, muziki na lifestyle kila siku. #Safaricom #MPesa #Wakenya #Kenya #Tanzania #MizukaMedia