• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Jimbo Katoliki Mpanda Kumenoga, Askofu Eusebius Nzigilwa Kutoa Daraja ya Upadre Jumapili 25/07/2021 скачать в хорошем качестве

Jimbo Katoliki Mpanda Kumenoga, Askofu Eusebius Nzigilwa Kutoa Daraja ya Upadre Jumapili 25/07/2021 4 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Jimbo Katoliki Mpanda Kumenoga, Askofu Eusebius Nzigilwa Kutoa Daraja ya Upadre Jumapili 25/07/2021
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Jimbo Katoliki Mpanda Kumenoga, Askofu Eusebius Nzigilwa Kutoa Daraja ya Upadre Jumapili 25/07/2021 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Jimbo Katoliki Mpanda Kumenoga, Askofu Eusebius Nzigilwa Kutoa Daraja ya Upadre Jumapili 25/07/2021 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Jimbo Katoliki Mpanda Kumenoga, Askofu Eusebius Nzigilwa Kutoa Daraja ya Upadre Jumapili 25/07/2021 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Jimbo Katoliki Mpanda Kumenoga, Askofu Eusebius Nzigilwa Kutoa Daraja ya Upadre Jumapili 25/07/2021

Askofu Eusebius Alfred Nzigilwa wa Jimbo Katoliki la Mpanda anatarajia kutoa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Shemasi Emili Nestory Sibomana wa Jimbo Katoliki la Mpanda, Jumapili tarehe 25 Julai 2021. Shemasi Emili Nestory Sibomana kama Padre anataka kumwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwani amemtendea makuu na jina lake ni takatifu. Rej. Lk 1:49. Na Padre Richard A. Mjigwa, C.PP.S. – Vatican. Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican wanasema, Mapadre wanashiriki kikamilifu katika huduma ya kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu. Wamewekwa wakfu kama makuhani wa kweli wa Agano Jipya, kwa ajili ya kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu; kuwachunga waamini na kuadhimisha Ibada kwa Mwenyezi Mungu. Wanashiriki kazi ya Mpatanishi, aliye mmoja Kristo Yesu. Mapadre katika daraja ya huduma yao, wanawahubiria watu Neno la Mungu na kutekeleza jukumu hili katika Ibada na Liturujia ya Kanisa, huku wakitenda kwa nafsi ya Kristo Yesu, na wakiunganisha na Fumbo lake, huunganisha matoleo ya waamini na sadaka ya Kichwa chao na katika sadaka ya Misa Takatifu huidhihirisha na kuitekeleza, hata Bwana ajapo! Hii ndiyo sadaka moja iliyotolewa na Kristo Yesu aliyejitoa Nafsi yake mara moja tu kwa Mungu Baba Mwenyezi kuwa ni sadaka isiyokuwa na mawaa. Kwa ajili ya waamini ili waweze kutubu na kumwongokea Mungu au wagonjwa, hutimiza kwa nguvu yote ya huduma ya upatanisho na faraja, na kumtolea Mwenyezi Mungu mahitaji na sala ya waamini. Mapadre wanatekeleza huduma za Kristo Yesu aliye Mchungaji na Kichwa kwa kadiri ya mamlaka yao. Huikusanya familia ya Mungu kama jumuiya ya ndugu iliyopenywa na roho ya umoja, na kwa njia ya Kristo katika Roho huiongoza kwa Mungu Baba Mwenyezi. Hatimaye, hujitaabisha kwa kuhutubu na kufundisha, wakisaidiki waliyoyasoma na kuyatafakari katika Sheria ya Bwana, wakifundisha waliyoyasadiki na kuyafuata waliyoyafundisha. Mapadre, washiriki wenye busara wa Daraja ya Uaskofu na msaada na chombo chake, waitwa kutumikia taifa la Mungu, wanakuwa umoja “presbiterio” (presbyterium), pamoja na Askofu wao. Mapadre chini ya Mamlaka ya Askofu, hutakatifuza na kuongoza kundi la Bwana walilokabidhiwa, hulifanya Kanisa lote zima lionekane wazi mahali pao na kutenda kazi ifaayo hata Mwili mzima wa Kristo Yesu ujengwe. Mapadre wanapaswa kuangalia daima mema ya watoto wa Mungu, wajitahidi kuchangia matendo yao katika kazi ya uchungaji ya Jimbo zima, na zaidi, ya Kanisa lote. Askofu aoneshe fadhila za kibaba na Mapadre wamtii na kumpatia heshima yake. Askofu ajenge urafiki na udugu wa kibinadamu na Mapadre wake. Kwa nguvu ya Upadrisho Mtakatifu na ya utume ulio sawa mapadre wote hufungamana katika udugu wa ndani, unaopaswa kujionesha kwa hiari na kwa moyo katika kusaidiana katika mambo ya kiroho na ya kimwili, ya kichungaji na ya binafsi, katika mikutano na katika ushirikiano wa maisha wa kazi na wa upendo. Mapadre katika maisha na utume wao wawangalie vyema waamini wao waliowazaa kiroho kwa Ubatizo na mafundisho. Wawaongoze watu wa Mungu kwa ari, moyo mkuu na unyenyekevu, daima wakijitahidi kushuhudia sura ya huduma ya kikuhani na ya kichungaji. Wajibidiishe kuwatafuta wale waliopotea na kukengeuka; waamini ambao wameacha kupokea Sakramenti za Kanisa na hata pengine kukosa imani. Mapadre wakiwa wameungana na Maaskofu wao pamoja na Khalifa wa Mtakatifu Petro, wawe ni mashuhuda na vyombo vya haki, amani, upendo na maridhiano kati ya watu wa Mataita, ili kusudi binadamu wote kwa pamoja waongozwe kwenye umoja na mshikamano wa familia ya Mungu. Rej. LG 28. Huu ndio wito, maisha na utume wa mapadre unaomsukuma Askofu Eusebius Alfred Nzigilwa wa Jimbo Katoliki la Mpanda, Tanzania kutoa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Shemasi Emili Nestory Sibomana wa Jimbo Katoliki la Mpanda, Jumapili tarehe 25 Julai 2021. Ibada hii ya Misa Takatifu itaadhimishwa kwenye Kanisa kuu la Bikira Maria Immakulata. Shemasi Emili Nestory Sibomana kama Padre anataka kumwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwani amemtendea makuu na jina lake ni takatifu. Rej. Lk 1:49. Padre Mtarajiwa Emili Nestory Sibomana alizaliwa tarehe 25 Juni 1990, Kigango cha Kalungu, Parokia ya Katumba, Jimbo Katoliki la Mpanda. Baada ya masomo na majiundo yake ya Kikasisi, toka Seminari kuu ya Mtakatifu Augostino, Peramiho, Jimbo kuu la Songea na Chuo Kikuu cha Kipapa cha Urbaniana kilichoko mjini Roma, tarehe 31 Oktoba 2020 akapewa Daraja Takatifu ya Ushemasi wa mpito na Kardinali Luis Antonio Gokim Tagle, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki. Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii: Instagram:   / jugo_media   Facebook:   / jugomedia2019   Mawasiliano: JUGO MEDIA, Sokoine Drive, Posta P. O. BOX 34014, Dar es Salaam. For Bookings and other Enquiries Phone Number +255757560764/657790405 #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Comments
  • Иран. Операция пошла не по плану 7 часов назад
    Иран. Операция пошла не по плану
    Опубликовано: 7 часов назад
  • #LIVE: Misa Takatifu ya Upadrisho kwa Mashemasi 2 wa Jimbo la Mpanda ikiongozwa na Askofu Nzigilwa 4 года назад
    #LIVE: Misa Takatifu ya Upadrisho kwa Mashemasi 2 wa Jimbo la Mpanda ikiongozwa na Askofu Nzigilwa
    Опубликовано: 4 года назад
  • Последняя Пасха: сценарии 12 апреля 2026 от Матроны 2 недели назад
    Последняя Пасха: сценарии 12 апреля 2026 от Матроны
    Опубликовано: 2 недели назад
  • Акежан Кажегельдин: почему Токаев меняет Конституцию, референдум и встречи Назарбаева с Путиным 2 недели назад
    Акежан Кажегельдин: почему Токаев меняет Конституцию, референдум и встречи Назарбаева с Путиным
    Опубликовано: 2 недели назад
  • MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris 3 года назад
    MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
    Опубликовано: 3 года назад
  • IJUE HISTORIA YA JIMBO KATOLIKI MPANDA,MAASKOFU WALIOHUDUMU JIMBONI HAPO, 5 лет назад
    IJUE HISTORIA YA JIMBO KATOLIKI MPANDA,MAASKOFU WALIOHUDUMU JIMBONI HAPO,
    Опубликовано: 5 лет назад
  • 16.03.2026 - Предупреждал всех 16 часов назад
    16.03.2026 - Предупреждал всех
    Опубликовано: 16 часов назад
  • Это не давление, а ИНСУЛЬТ! 5 признаков, если КРУЖИТСЯ голова (Тест за 1 минуту) 2 дня назад
    Это не давление, а ИНСУЛЬТ! 5 признаков, если КРУЖИТСЯ голова (Тест за 1 минуту)
    Опубликовано: 2 дня назад
  • МИРОВАЯ КАТАСТРОФА! Хуситы перекрывают ЕЩЕ и Красное море. Цены взлетят до небес. - Печий 16 часов назад
    МИРОВАЯ КАТАСТРОФА! Хуситы перекрывают ЕЩЕ и Красное море. Цены взлетят до небес. - Печий
    Опубликовано: 16 часов назад
  • St. Peter’s Choir Oysterbay: Kwaheri Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (Official Music Video) 2 недели назад
    St. Peter’s Choir Oysterbay: Kwaheri Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo (Official Music Video)
    Опубликовано: 2 недели назад
  • #LIVE | MISA TAKATIFU USHEMASI WA MAFRATERI WATANO - JIMBO KATOLIKI KAHAMA. Трансляция закончилась 1 год назад
    #LIVE | MISA TAKATIFU USHEMASI WA MAFRATERI WATANO - JIMBO KATOLIKI KAHAMA.
    Опубликовано: Трансляция закончилась 1 год назад
  • Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18 7 лет назад
    Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18
    Опубликовано: 7 лет назад
  • ASKOFU GWAJIMA ALIPOKWENDA KUJIPIMISHA NGUVU DHIDI YA MGANGA WA KIENYEJI 4 месяца назад
    ASKOFU GWAJIMA ALIPOKWENDA KUJIPIMISHA NGUVU DHIDI YA MGANGA WA KIENYEJI
    Опубликовано: 4 месяца назад
  • Неожиданный рывок на запад! ВСУ теряют бойцов пачками! Военные сводки 16.03.2026 17 часов назад
    Неожиданный рывок на запад! ВСУ теряют бойцов пачками! Военные сводки 16.03.2026
    Опубликовано: 17 часов назад
  • MAHUJAJI WA MATUMAINI Na P.T.K Sindani ~ Kwaya Ya Mt Sesilia Ilembo - Jimbo Katoliki Mpanda 1 год назад
    MAHUJAJI WA MATUMAINI Na P.T.K Sindani ~ Kwaya Ya Mt Sesilia Ilembo - Jimbo Katoliki Mpanda
    Опубликовано: 1 год назад
  • Mahubiri ya Askofu Nzigilwa Jubilei ya Kardinali Pengo yatikisa Umati, Machozi ya Huzuni na Furaha 4 года назад
    Mahubiri ya Askofu Nzigilwa Jubilei ya Kardinali Pengo yatikisa Umati, Machozi ya Huzuni na Furaha
    Опубликовано: 4 года назад
  • WAKRISTO KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA JE MZEE WA UPAKO KWANI ANASAPOTI? 1 год назад
    WAKRISTO KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA JE MZEE WA UPAKO KWANI ANASAPOTI?
    Опубликовано: 1 год назад
  • UTAJIRI WENYE MASHARTI 1 год назад
    UTAJIRI WENYE MASHARTI
    Опубликовано: 1 год назад
  • 🔥 ШОК! МУСАБЕКОВ ПОСЛАЛ ИРАНСКУЮ ШЕСТЁРКУ ЗА ВАЗЕЛИНОМ! РУСЛАН АЙСИН @Poistine​ 17 часов назад
    🔥 ШОК! МУСАБЕКОВ ПОСЛАЛ ИРАНСКУЮ ШЕСТЁРКУ ЗА ВАЗЕЛИНОМ! РУСЛАН АЙСИН @Poistine​
    Опубликовано: 17 часов назад
  • #LIVE: Mafungo ya WAWATA Jimbo Katoliki Bagamoyo, Semina, Njia ya Msalaba na Misa Takatifu. Трансляция закончилась 2 дня назад
    #LIVE: Mafungo ya WAWATA Jimbo Katoliki Bagamoyo, Semina, Njia ya Msalaba na Misa Takatifu.
    Опубликовано: Трансляция закончилась 2 дня назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5