• ClipSaver
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Hananja : "Nimeshachimba Dhahabu" | SALAMA NA RICH BILIONEA PART 1 скачать в хорошем качестве

Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Hananja : "Nimeshachimba Dhahabu" | SALAMA NA RICH BILIONEA PART 1 2 years ago

Yah StoneTown YahStoneTown

SalamaJabir

SalamaNa

MarcoChali

Jokate

FidQ

MxCarter

KhadijaKopa

Gigi Money

Gigy Money

MwanaFA

Ay

DiamondPlatnumz

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Hananja :
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Hananja : "Nimeshachimba Dhahabu" | SALAMA NA RICH BILIONEA PART 1 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Hananja : "Nimeshachimba Dhahabu" | SALAMA NA RICH BILIONEA PART 1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Hananja : "Nimeshachimba Dhahabu" | SALAMA NA RICH BILIONEA PART 1 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Hananja : "Nimeshachimba Dhahabu" | SALAMA NA RICH BILIONEA PART 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 Kipindi cha nyuma kidogo nilifanya lile ambalo huwa nafanya la kuwashirikisha rafiki zangu na team kuhusu list ya watu ambao wangependa kuwaona kwenye kiti chetu chakavu na sababu za kwanini hasa waje kwenye meza ile yenye kigae kwa juu maana tukisema tutaje majina tu bila ya sababu thabit za wao kuja pale tunaweza tukaondoa maana yenyewe ya kuwa na watu wenye story za kuvutia na kutufunza kama ambavyo tumekua tukifanya. Jina la mgeni wetu huyu lililetwa kwangu na Michael (Mx) Mlingwa na Ndugu yangu Elbogast Myaluko ndo alinipatia mawasiliano naye na kuanzia hapo mengine yamebaki kukhadithiwa kama hivi. Sikua namfahamu Mchungaji Richard Hananja mpaka Michael alipo niambia nami nikachukua muda wangu wa kwenda kufanya ka research kangu kabla hajaja mezani, ambacho nilijifunza ni kwamba Mchungaji alikua ni mtu mashuhuri sana ambaye ana watu wengi sana pia wanao mskiliza. Ilinichukua takriban miezi miwili kuweza kumpata maana kila weekend (mara nyingi rekodi za kipindi huwa zinafanyika weekend) yeye huwa yuko safarini. Huitwa sana sehemu mbali mbali, na sasa Serikali nayo imekua ikimuita pia katika matamasha na mikutano mbalimbali. Kwahiyo mara utamsikia yuko Dodoma, mara Moshi, mara Iringa ilimradi yuko busy. Na wakati mwengine Jumapili yake inakua ya yeye kualikwa kwenye Makanisa mbalimbali ili akatoe neno, siku hizi yeye ameshastaafu kuhubiri kanisani na sasa zilizobaki ni hizo za mialiko maalum. Kama kawaida mimi na wenzangu tulitaka kuanza kwa kumfahamu mgeni wetu maana kama nilivyokuambia hapo awali mimi sikua namfahamu zaidi tu ya kumuona kwenye mitandao akimwaga cheche, tulianzia kwenye kuzaliwa kwake na kukua kwake, mitihani mbalimbali ya ujana, bishara na kazi ambazo ashawahi fanya, na wakati naandika hii nimejifunza pia kuwa Mchungaji hana ambalo anaongeza chumvi maana baada ya sisi kufanya nae maongezi haya, nimeona ameenda sehemu tofauti tofauti na story yake haijawahi kubadilika. Ujasiri wa ziada huhitajika ili tuweze kufanikiwa kwenye maisha yetu na pia kuwa kwenye mstari ili usiingie kwenye matatizo na vyombo vya sheria. Mchungaji ananiambia jinsi ambavyo alikua ana hustle kila kona, kusafiri bila ya kibali cha kuvuka mipaka ya nchi na boxing ambayo aliifanya kwenye kipindi flani kwenye maisha yake. Boxing imemuachia kovu ambalo kila siku linamkubusha mapambano ambayo ameshawahi kuyafanya kwenye maisha yake. Boxing pia ndo ambayo imemfanya awe na discipline ya hali ya juu. Kwenye maisha yake ya sasa Mchungaji Hananja anatoa nafasi kwa kila aliye kata tamaa au ambae watu wamemkatia tamaa, yeye ndo huwachukua hao na kuwapa nafasi nyengine kwenye maisha yao, na amini usiamini wengi wao hunyooka na kuanza upya. Kwenye nyumba yake huko Madale Mchungaji anafanya mambo mengi ikiwa pamoja na kilimo na ufugaji. Swali langu lilianza kwa kutaka kujua hizo pesa za yeye kuweza kufanya mambo yote hayo, huwa zinatoka wapi? Mchungaji Hananja ni MUME, na kwa mujibu wa maelezo yake, alichelewa saana kuoa na mkewe ni Rafiki yake wa kwanza. Yangu matumaini moja mbili tulizopiga humu zitakupeleka sehemu. Tafadhali enjoy. Love, Salama. Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown   Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Comments
  • Salama Na SAMATTA  SE6 EP49 | HEADMASTER PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460 2 years ago
    Salama Na SAMATTA SE6 EP49 | HEADMASTER PART 2 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460
    Опубликовано: 2 years ago
    56446
  • Tazama Misemo Ya Mchungaji Hananja Ilivyomvunja Mbavu Salama | SALAMA NA RICH BILIONEA PT 2 2 years ago
    Tazama Misemo Ya Mchungaji Hananja Ilivyomvunja Mbavu Salama | SALAMA NA RICH BILIONEA PT 2
    Опубликовано: 2 years ago
    320658
  • MCH HANANJA AWASHA MOTO KWA NABII ALIYE VAA KIPENSI, HUU NI UJINGA KABISA 1 year ago
    MCH HANANJA AWASHA MOTO KWA NABII ALIYE VAA KIPENSI, HUU NI UJINGA KABISA
    Опубликовано: 1 year ago
    213629
  • KIBENTEN FULL MOVIE 1 year ago
    KIBENTEN FULL MOVIE
    Опубликовано: 1 year ago
    2347155
  • MCH HANANJA - AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE kwenye TACMEN MEN'S DINNER 2023 2 years ago
    MCH HANANJA - AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE kwenye TACMEN MEN'S DINNER 2023
    Опубликовано: 2 years ago
    759683
  • Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1 4 years ago
    Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1
    Опубликовано: 4 years ago
    488691
  • UTACHEKA MAFUNDISHO YA MCHUNGAJI HANANJA/ HAUWEZI KUONA PISI KALI UKIWA NA NJAA/ SADAKA SABA/ NGADA 1 year ago
    UTACHEKA MAFUNDISHO YA MCHUNGAJI HANANJA/ HAUWEZI KUONA PISI KALI UKIWA NA NJAA/ SADAKA SABA/ NGADA
    Опубликовано: 1 year ago
    30985
  • Как живет самый влиятельный кавказец России? История Сулеймана Керимова 7 months ago
    Как живет самый влиятельный кавказец России? История Сулеймана Керимова
    Опубликовано: 7 months ago
    1728454
  • Мусульманский ребёнок заставил профессора-атеиста замолчать логикой молока. 2 months ago
    Мусульманский ребёнок заставил профессора-атеиста замолчать логикой молока.
    Опубликовано: 2 months ago
    937669
  • Mchungaji Hananja atua kwenye Chimbo! Ni Kucheka Mwanzo mwisho.. Isikupite hii 8 months ago
    Mchungaji Hananja atua kwenye Chimbo! Ni Kucheka Mwanzo mwisho.. Isikupite hii
    Опубликовано: 8 months ago
    38594

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS