У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔥 MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025 | UZINDUZI MKOA WA PWANI | WILAYA 7, HALMASHAURI 9... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu utazame tukio la kihistoria la Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, zilizoanzia kwa uzinduzi rasmi katika Mkoa wa Pwani, kisha kukimbizwa katika wilaya zote saba na halmashauri tisa mkoani humo kuanzia tarehe 2 hadi 11. kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni "Shiriki Uchaguzi Mkuu kwa Amani na Utulivu" Mbio hizi zimebeba ujumbe wa amani, mshikamano, maendeleo, na uwajibikaji kwa Taifa la Tanzania, huku miradi mbalimbali ya kijamii, kiuchumi na kiinfrastructure ikizinduliwa, kukaguliwa, au kuwekwa mawe ya msingi. 🎤 Viongozi wa serikali, vijana, wanafunzi, na wananchi kwa ujumla walijitokeza kwa wingi kushiriki mbio hizi zenye historia ya kipekee tangu enzi za Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere. 👉 Tazama video hii ujionee uzalendo, mshikamano na hamasa ya wananchi wa Mkoa wa Pwani katika kuupokea Mwenge wa Uhuru 2025. 📌 Usisahau kusubscribe, kutoa maoni, na kushiriki video hii kwa wengine. #MwengeWaUhuru2025 #Pwani #HabariNaZaidi #Maendeleo #Tanzania #WilayaSaba #MkoaWaPwani #VijanaNaMaendeleo