У нас вы можете посмотреть бесплатно Duale akana matamshi yaliyotishia makabila Garissa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Matamshi yanayodaiwa kutolewa na mbunge wa Garissa mjini aden duale akitaka wananchi wasio wakaazi wa garissa kutosajiliwa kama wapiga kura eneo hilo yamevutia hisia kali katika mitandao ya kijamii. Sauti hiyo inayodaiwa kuwa ya Duale na ambayo ilirekodiwa kwa njia ya simu iliwekwa kwenye mitandao ya kijamii ambapo mtu anayedaiwa kuwa yeye anasikika akiwarai wananchi kuwakabili watu kutoka jamii nyingine ambao watajaribu kushiriki zoezi la kusajiliwa kama wapiga kura. Matamshi hayo yamewachukiza wengi huku wanaotumia mitandao ya kijamii wakitaka Duale akamatwe kwa kudaiwa kutoa matamshi hayo. Lakini akizungumza na NTV kwa njia ya simu Duale amekana kuwa ni sauti yake Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke. Follow @ntvkenya on Twitter and like our page on Facebook: NTV Kenya.