У нас вы можете посмотреть бесплатно NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MTINIKO MTWARA| MAZAO YAUNGUA VILIO VYATAWALA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Nyumba ya Ndugu Salumu Abdallah Liyonjo Mkazi wa Kijijii na Kata ya Mtiniko Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, imeteketea kwa Moto Mchana wa leo Desemba 11, 2025 huku chanzo kikidaiwa kuwa ni Takataka zilizochomwa moto vyuma ya Nyumba hiyo Kisha moto huo ukarukia kwenye Mti wa Mwembe mkavu Kisha kushukia kwenye Nyumba hiyo pamoja na Banda la Chakula. Akiongea na Faida Online TV kwa njia ya Simu, Mwenyekiti wa Kijiji hicho Ndugu Hamisi Mussa Ling’wenye (Cool boy) amesema katika tukio hilo vitu vingi vimeungua hasahasa Vyakula huku akitaja Gunia 5 za Korosho zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya kubangua, Mpunga Gunia 2 Mahindi Muhogo n.k SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU HAKIKA SISI NI WATU WA FIELD