У нас вы можете посмотреть бесплатно VIWANJANI | Ofa ya 'Chajuuzaidi' inavyonogesha burudani AzamTV, Meneja Masoko aeleza или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#VIWANJANI: “…baada ya kukiwasha, sasa tumewaongezea joto zaidi…” Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa #AzamMediaLimited @tkorosso akieleza umuhimu wa kupakua program tumizi ya Azam Pesa ili kuwa miongoni mwa watakaopata ofa ya kununua kifurushi cha shilingi 28,000 na kupandishwa juu zaidi. Kwa upande wake Meneja Masoko wa #AzamMediaLimited, Gloria Chuwa amesema ofa hiyo ni sehemu ya kumuongezea thamani mteja wa AzamTV. Amesema baada ya ushirikiano na kampuni ya Azam Pesa, mteja anayenunua kifurushi cha shilingi 28,00 kupitia AzamPesa atapandishwa hadi kifurushi cha shilingi 35,000 Imeandaliwa na Katherini Shirima Mhariri |@rajjmsangi #viwanjani