У нас вы можете посмотреть бесплатно WALIMU KITANZINI KWA KUMPA MIMBA MWAFUNZI MWANZA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, imewatia mbaroni walimu wawili na mwenyekiti wa kamati ya shule ya msingi kilimo kata ya Ukiliguru, baada ya mwalimu mkuu wa shule hiyo Charles Maige, kudaiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wake wa darasa la saba, ambaye ni mtoto yatima. Tuhuma nyingine zinazomkabili mwalimu huyo, ni kumtoa mimba mwanafunzi mwingine aliyekuwa na uhusiano naye wa kimapenzi, ili kukukwepa mkono wa sheria, ikiwa ni pamoja na kuendelea kujihusisha na mahusiano ya namna hiyo na wanafunzi wengime wawili wa darasa la saba.