У нас вы можете посмотреть бесплатно Padre Mutunzi: Hakuna Amani bila Haki/ "Kipindi hiki ni kigumu sana" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
PICHA JONGEFU || MISA TAKATIFU YA MAZISHI KAGONDO - BUKOBA "Tuombe wanaokwenda kuchagua na wanaochaguliwa, wote tutende haki, hauwezi kuwa na amani bila kuwa na haki, usichague kwasababu wamesema." Homilia ya Padre Eladius Mutunzi Paroko Msaidizi wa Parokia ya Bikira Maria Mkingiwa dhambi ya Asili - Kagondo Jimbo Katoliki Bukoba, wakati wa adhimisho la Misa Takatifu ya kuanua matanga ya Marehemu Ma Tereza Ishengoma, Mama Mzazi wa Profesa Bonaventure Rutinwa, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rafiki wa Radio Maria na Tanzania. Misa Takatifu imeadhimishwa Oktoba 15 2025 na Padre Beatus Kaijage, ambaye pia ni mjukuu wa Marehemu Ma Thereza Ishengoma, katika Kijiji cha Nyakashenye, Kigango cha Nyailigamba, Parokia ya Bikira Maria Mkingiwa dhambi ya Asili - Kagondo Jimbo Katoliki Bukoba. . . www.radiombiu.co.tz #MahujajiWaMatumaini #KapuLaMama2025MamaWaMatumaini