У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI ULEGA AAGIZA KUPUMZISHWA KWA ZIWA TANGANYIKA, ATUMBUA MMOJA KIGOMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ametangaza mpango wa Serikali wa kupumzisha shughuli za uvuvi katika ziwa Tanganyika kwa miezi mitatu ili kuwezesha samaki kuzaliana na kuongeza tija kwa wavuvi wanaofanya shughuli zao ziwani humo. Waziri Ulega ametoa kauli ya serikali kwa nyakati tofauti ambapo awali alitoa kauli hiyo akizungumza na wadau wa uvuvi kwenye ofisi ya Mkuu wa mkoa Kigoma na baadaye kuzungumza na wananchi na wadau wanaofanya shughuli za uvuvi kwenye Mwalo wa Katonga Manispaa ya Kigoma Januari 9, 2023. Aidha WAZIRI Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Agnes Meena kumsimamisha kazi Afisa Mfawidhi anayeshughulikia ubora wa samaki kituo cha Kigoma, Frank Kabitina kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za umma.