У нас вы можете посмотреть бесплатно Nyimbo za Wokovu 154 E’ RAFIKI, SHAKA ZAKO ZIPELEKE KWAKE Tabernacle Chrétien de Lubumbashi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Nyimbo za Wokovu 154 E’ RAFIKI, SHAKA ZAKO ZIPELEKE KWAKE Tabernacle Chrétien de Lubumbashi 1. E’ rafiki, shaka zako zipeleke Kwake Yesu ! Aliyemwamini Yeye hataona haya kamwe. Chorus Naamini, naamini, Ninakuamini, Yesu. [ Naamini, naamini, Naamini Neno Lako. ] BIS 2. Dhambi zote ziungame na kwa damu utakaswe, Akuvike haki Yake ! Atakufikisha Kwake. 3. Masumbuko yako yote uyaweke mbele Yake ! Ukipita uvulini, Bwana Yesu yupo nawe. 4. Na furaha yako pia ijulike kwake Yesu, Yeye, Bwana ju’ ya yote, Akubarikie yote ! 5. Ujitoe Kwake Yesu: Roho, mwili na akili ! Vyote vya maisha yako Anataka ku’takasa. Below is the link to the video where the song was extracted: • Mercredi 17-04-2024 "LES INSTRUCTIONS SUR ... Nyimbo za Wokovu 154 E’ RAFIKI, SHAKA ZAKO ZIPELEKE KWAKE Tabernacle Chrétien de Lubumbashi #Maranatha