У нас вы можете посмотреть бесплатно Habari Njema | John Bulengela или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
• Nimechagua Yesu Kwenye holi la ng’ombe alizaliwa mtoto Mtoto wa pekee kutoka juu Zawadi ya wokovu kutoka kwa Mungu Baba Mungu katika mwili kashuka kutukomboa wanadamu Habari njema wokovu umefika kwenu Amezaliwa wa ulimwengu Na atukuzwe Mungu juu mbinguni na duniani iwe amani kwenu Kwa watu wote Mungu aliowaridhia Mamajusi kutoka nchi za mbali wa wakiifata nyota wakileta zawadi wachungaji kondeni wapewa habari njema katika mji wa bethlehem kazaliwa leo mfalme Habari njema wokovu umefika kwenu Amezaliwa mfalme wa ulimwengu. Na atukuzwe Mungu juu mbinguni na duniani iwe amani kwenu Kwa watu wote Mungu aliowaridhia Habari njema wokovu umefika kwenu Amezaliwa mfalme wa ulimwengu