У нас вы можете посмотреть бесплатно Saikolojia 7 za Kumfahamu Mtu (Hata Akiwa Anakuficha Ukweli) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Unataka kujua tabia halisi ya mtu anayekuficha ukweli? Usisikilize anachosema… tazama anachofanya. Kwenye video hii, nakufundisha mbinu 7 za kisaikolojia zinazotumiwa na wachunguzi wa tabia, wataalamu wa saikolojia, na watu wenye akili ya juu ya kijamii (social intelligence) kumvua mtu kinyago chake cha kweli. Utajifunza: Kwa nini ukimya ni silaha ya akili Jinsi ya kusoma matendo badala ya maneno Kwa nini marafiki zake ni kioo cha tabia yake Mbinu hatari ya Amygdala Hijack (Hasira) The Waiter Rule – kipimo halisi cha utu Maswali ya kina yanayovunja ulinzi wa muongo ⚠️ ONYO: Mbinu namba 4 inaweza kubadilisha kabisa namna unavyochagua rafiki, mpenzi, au mshirika wa biashara. 👉 Kama unapenda saikolojia ya binadamu, mahusiano, uongo, tabia za siri, na self mastery, video hii ni yako. 👍 LIKE 🔔 SUBSCRIBE 📤 SHARE na mtu unayetaka afunguke #Saikolojia #HumanPsychology #SaikolojiaYaBinadamu #Mahusiano #AkiliYaWatu #PsychologicalTricks #BodyLanguage #Ukweli #SelfAwareness #MentalPower #MindGames #LifeSkills #Kujijua