У нас вы можете посмотреть бесплатно KWA NINI UTAWALA wa IRAN SIYO RAHISI KUANGUSHWA? MAZITO YALIYOJIFICHA KWENYE MFUMO 📍IRAN или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KWA NINI UTAWALA wa IRAN SIYO RAHISI KUANGUSHWA? MAZITO YALIYOJIFICHA KWENYE MFUMO 📍IRAN @ONESMO SANGALALI - DAR CC; BAKARI MAHUNDU Ili kuielewa Iran ya leo kwa undani zaidi, ni lazima kurejea kwenye Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979 ambayo yalibadilisha kabisa mwelekeo wa nchi hiyo. Kabla ya mapinduzi, Iran ilikuwa chini ya utawala wa kifalme wa Shah Mohammad Reza Pahlavi, uliokuwa ukitegemea mtu mmoja, jeshi, na uungwaji mkono wa mataifa ya Magharibi. Mfumo huo ulipoporomoka, viongozi wa mapinduzi wakiongozwa na Ayatollah Ruhollah Khomeini waliamua kujenga dola ambayo isingerudia makosa ya zamani: dola isiyotegemea mtu mmoja bali taasisi imara zinazodhibiti na kusimamia mamlaka. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx