У нас вы можете посмотреть бесплатно Uchambuzi wa CloudsFm kuelekea TZ PRISONS vs YANGA (kitawaka Dodoma) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
uchambuzi kuelekea Prisons vs yanga Anaandika mchambuzi GEORGE JOB TAIFA HALIKO TAYARI, TUACHE UNAFIKI. Wiki iliyopita kelele zilikua juu ya ratiba ya Simba kupata siku zaidi za kupumzika kuliko Yanga, Simba nao wakawa na kelele ya mechi nyingi za ugenini kwenye ratiba ya hivi karibuni. Juzi na jana kelele zikawa kubadilika kwa kituo cha mchezo kati ya Prison vs Yanga, leo ni malalamiko ya Singida kunyimwa penalty. Ukifuatilia huo mtiririko hapo story ni Simba/Yanga..kitu lazima kihusishe Simba/Yanga ndio usikie kelele, tena kelele zitapigwa na upande pinzani. Kama jambo linaibeba Simba ajenda itaongozwa na Yanga, na kama linaibeba Yanga ajenda itaongzwa na Simba. Hiyo ndio skript ya tamthilia yetu ya soka letu lenye slogani ya Kivyetu vyetu