У нас вы можете посмотреть бесплатно TAKUKURU TEMEKE YAOKOA SH BILIONI 2.6 ZA NSSF или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Zaidi ya Sh bilioni 2.6 zimeokolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) fedha ambazo zimekusanywa kutoka kwa waajiri mbalimbali wa sekta binafsi waliokuwa wakidaiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Akizungumza na vyombo vya habari wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2025, Naibu Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Temeke, Ismail Bukuku, amesema waajiri hao walikuwa hawawasilishi michango yao na kuathiri utekelezaji wa majukumu ya mfuko huo #skytv