У нас вы можете посмотреть бесплатно MADIWANI WAMKATAA AFISA UTUMISHI GEITA MJI/ALIMYIMA MWALIKO DC/MAENDELEO YANAKWAMA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Wilaya ya Geita Cornel Magembe amesema Halmashauriu ya Mji wa Geita imekosa utulivu kutokana na minyukano iliyopo baina ya Madiwani pamoja na baadhi ya watumishi ambao wanatunishiana misuli huku wakitambiana masuala ya elimu ambapo imeelezwa madiwani wamekuwa wakizalauliwa kutokuwa na elimu. Hata hivyo sakata la Halmashauri kukosa utulivu limechukua suara mpya baada ya madiwani kutokuwa na imani na Afisa Utumishi wa halmashauri hiyo, Egidy Teulas. Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji wa Geita wanatoa tamko dhidhi ya Afisa huyo, huku Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Costantine Morandi Mtani amesema suala la uvumilivu linaukomo wake. #mwangazatvupdates