У нас вы можете посмотреть бесплатно Cazimily - Moyo Wangu (Official Music Audio) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
“Moyo Wangu” Nilikuona kipindi kile, Bwana Ulisimama, ukanitegemeza Ninakiri ni Wewe uliyekuwepo Asante Baba, asante Yesu Yalikuwepo yakunivunja moyo Milima mikubwa, dhoruba kali sana Ukanibeba mabegani Mwako Asante Baba kwa neema hii CHORUS Kwenye vipindi vyote ulikuwa nami Kwenye jua kali ukawa kimvuli Kwenye mvua pia ukawa mwamvuli Bwana, nimeona wema Wako Pendo Lako, Mungu wangu wa ajabu REFRAIN Moyo wangu umejaa sifa Nikikumbuka ulikonitoa Maneno ya kinywa hayawezi tosha Kueleza uliyoyafanya ×2 VERSE 2 Kwenye lile nalo uliona Ukasimama, ukafanyika Baba Mlinzi, msaidizi Mtetezi na kiongozi wangu Kwenye magumu ukayasawazisha Kwenye dhoruba ukazituliza Ukazimaliza shida zote Nikauona mkono Wako, Bwana CHORUS Kwenye vipindi vyote ulikuwa nami Kwenye jua kali ukawa kimvuli Kwenye mvua pia ukawa mwamvuli Bwana, nimeona wema Wako Pendo Lako, Mungu wangu wa ajabu REFRAIN (OUTRO) Moyo wangu umejaa sifa Nikikumbuka Ulikonitoa Maneno ya kinywa hayawezi tosha Kueleza uliyoyafanya ×2 Song: Moyo Wangu Artist: Cazimily Genre: Gospel