У нас вы можете посмотреть бесплатно JOTO DABI YA KARIAKOO, AMRI KIEMBA AIPA SIMBA MBINU YA USHINDI, AMTAJA PACOME, DEPU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Nyota wa zamani wa Simba, Yanga, na Azam, Amri Kiemba, ametoa mtazamo wake kuhusu namna anavyotazamia Dabi ya Kariakoo itakavyokuwa. Kiemba amezungumzia ushindani na presha inayoambatana na mechi hiyo kubwa itakayopigwa Machi 1, 2026, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, akieleza matarajio yake kwa pande zote mbili kuelekea pambano hilo linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki. Hadi sasa katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, Yanga inaongoza ikiwa napointi 28, huku Simba ikishika nafasi ya tatu ikiwa na pointi 23. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj