У нас вы можете посмотреть бесплатно WAKUU WA SHULE SEKONDARI H/SHAURI MASASI DC WAPEWA MIKAKATI KUINUA KIWANGO CHA UFAULU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WAKUU wa shule za sekondari Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara wamehimizwa kuhakikisha wanasimamia suala la ufundishaji na ujifunzaji shuleni kila wiki kwa kufuatilia daftari la mahudhulio ya walimu darasani pamoja na ukamilishaji wa mada, daftari za nukuu za wanafunzi na utoaji wa mazoezi, hatua hiyo itachagiza kuinua ufaulu kwa wanafunzi. Hayo yameelezwa na afisa elimu sekondari Halmasshauri ya wilaya ya Masasi,Lusekelo Mkumbwa wakati alipokuwa katika kikao cha tathmini ya matokeo ya mtihani wa upimaji wa kitaifa kwa kidato cha pili na cha nne 2025 kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Halmahauri hiyo uliopo mjini Masasi na kuddhuliwa na wadau mbalimbali wa elimu wilayani Masasi. Aidha,wakuu hao wa shule wamehimizwa kuwashirikisha wazazi na walezi katika maendeleo ya kitaaluma ya wanafunzi.