У нас вы можете посмотреть бесплатно SATA: Matumizi ya dawa za usingizi ni salama или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MATUMIZI YA DAWA ZA USINGIZI NI SALAMA: Chama cha Madaktari Bingwa wa Dawa za Usingizi nchini (SATA) kimewatoa hofu watanzania kuhusiana na dawa za usingizi wanazopewa wajawazito wakati wa upasuaji maarufu kwa jina la Nusu Kaputi kuwa ni salama kuliko inavyodhaniwa na baadhi ya watu kuwa dawa hizo zina madhara ya kiafya. Hata hivyo SATA imeeleza kuwa visabibishi vinavyotokea baada ya hatua hiyo vinatokana na matumizi yasiyo sahihi ya sindano kulingana na wataalam wa eneo husika na kueleza kwamba ni vya kawaida na havina madhara makubwa. Kwa taarifa kamili Kakuru Msim kutoka MBEYA anaarifu zaidi. #AzamNews #AzamTVUpdates Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: / azamtvtz ►INSTAGRAM: / azamsports2 ►TWITTER: / azamtvtz ►FACEBOOK: / azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz