У нас вы можете посмотреть бесплатно #BREAKING или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#BREAKING: PROF NGOWI AANGUKIWA NA KONTENA, AFARIKI AKIWA NJIANI KUELEKEA HOSPITALI Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe na mwanazuoni mbobezi, Profesa Honest Ngowi amefariki dunia leo Jumatatu Machi 28, 2022 baada ya gari alilokuwa akisafiria, Toyola land Cruiser lenye namba za usajili SU 38223, kuangukiwa na kontena eneo la Mlandizi mkoani Pwani akiwa njiani kuelekea Morogoro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kwamba imetokea majira ya saa 12 alfajiri ikihusisha magari matatu, Toyota Noah, Toyota Land Cruiser na lori la mizigo ambalo ndiyo chanzo cha ajali baada ya kuhama njia na kuiangukia Noah ubavuni kisha kuilalia gari ya Ngowi. Kamanda Lutumo ameeleza pia kwamba dereva aliyekuwa akimuendesha Profesa Ngowi naye amefariki dunia. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline