У нас вы можете посмотреть бесплатно Siri 7 Zitakazomfanya mwanaume Akutafute Mwenyewe Kila Siku или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Maumivu ya kusubiri message… kuangalia simu kila dakika… na kujiuliza “kwanini hanitafuti?” Ukweli ni kwamba, sio kwamba hawezi… bali hajachochewa kufanya hivyo. Katika video hii, Roy (miaka 32), relationship coach, anaelezea kwa uwazi na kwa uchungu siri 7 muhimu zitakazobadilisha kabisa jinsi mwanaume anavyokuona… na kumfanya akutafute mwenyewe kila siku bila kulazimishwa. Hizi sio hadithi za kufariji… ni ukweli halisi wa mahusiano: Kwa nini mwanaume hupoteza interest Makosa ambayo wanawake wengi hufanya bila kujua Jinsi ya kujenga value yako bila kumfukuzia Mbinu za kisaikolojia zinazofanya mwanaume akukose Ukielewa na kutumia haya… utaacha kusubiri, na utaanza kutafutwa. 👉 Kama umechoka kupuuzwa, hii video ni yako. 👍 Like 🔔 Subscribe 💬 Comment: uko wapi unaangalia na jina la mwanaume unayetaka aanze kukutafuta kila siku #Mahusiano #Mapenzi #UshauriWaMahusiano #DatingTips #RelationshipAdvice #LovePsychology #SelfWorth #Confidence #WomenEmpowerment #RoyCoach