У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIKALI ya URUSI YAKIRI RAIA WAO ANAYETRENDI KENYA KUWAREKODI VIDEO CHAFU WANAWAKE... 📍RUSSIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
SERIKALI ya URUSI YAKIRI RAIA WAO ANAYETRENDI KENYA KUWAREKODI VIDEO CHAFU WANAWAKE... 📍RUSSIA @ONESMO SANGALALI - DAR CC; BAKARI MAHUNDU Serikali ya Urusi imekiri kuwepo kwa ripoti zinazomhusisha mwanamume mmoja raia wa Urusi anayedaiwa kurekodi matukio ya mapenzi ya wanawake aliokuwa amewarubuni katika nchi mbalimbali za Afrika na kusambaza video hizo mtandaoni bila ridhaa yao, jambo ambalo limezua mshtuko mkubwa na hasira kali katika mataifa ya Afrika na jumuiya ya kimataifa. Ghana imesema wazi kwamba inataka mshukiwa huyo arejeshwe nchini humo ili akabiliwe na mkono wa sheria, ikisisitiza kuwa vitendo hivyo ni uhalifu mkubwa unaokiuka faragha, utu na haki za msingi za wanawake. Mamlaka za Ghana zinasema kuwa tayari zimeanza mchakato wa kisheria na mawasiliano ya kidiplomasia ili kuhakikisha mshukiwa anawajibishwa, lakini zinaeleza kuwa bado hazijapata majibu ya wazi kutoka kwa Moscow kuhusu uwezekano wa kumkabidhi. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx