У нас вы можете посмотреть бесплатно Masasidconline Tv - HONGERENI SANA MASASI DC KWA UTEKELEZAJI MKUBWA WA MIRADI YA KIMAENDELEO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025 Ndg. Ismail Ali Ussi ameushukuru na kuupongeza Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi kwa Utekelezaji mkubwa wa miradi ya kimaendeleo ambayo Mwenge wa Uhuru imepita bila shaka yeyote na miradi yote imepitishwa kwa asilimia 100. Amesema hatua hiyo inatokana na mapenzi mema walionayo kwa Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Na mimi ninaendelea kuwahaidi kwamba sisi wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa yale yote mazuri ambayo tumayaona katika Halmashauri hii basi tutaenda kumfikishia Dkt.Samia Suluhu Hassan na kwamba katika Wilaya ya Masasi anao Viongozi imara, mashupavu, wazalendo ambao wanaendelea kutii na kuenzi falsafa ya Mwenge wetu wa uhuru" alisema Ndg Ussi. 20/05/2025