У нас вы можете посмотреть бесплатно Upinzani waahidi kumshtaki Rais Ruto ICC iwapo polisi wataendelea na ukatili wao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Viongozi wa upinzani wameendelea kuikashifu serikali kwa madai ya kupanga njama ya kuvuruga mikutano yao. Wakiongozwa na Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka,viongozi hawa na waliokuwa wameelekea katika makao makuu ya polisi na kumkosa Inspekta Jenerali Douglas Kanja,wameahidi kurejea tena kwenye ofisi za Kanja siku ya ijumaa wakiandamana na maelfu ya wakenya ili kupata jawabu ya kiini cha kuzuka kwa vurugu kwneye mikutano ya viongozi wa upinzani. Japo hata baada ya haya yote mkutano wa viongozi hawa umevurugwa mchana wa leo baada ya maafisa wa polisi kutupa vitao machozi katika jiji kuu la nairobi na walikokuwa wanawahutubia wakenya.