У нас вы можете посмотреть бесплатно UCHAMBUZI KUHUSU HATUA YA ODINGA KUJIAPISHA KUWA RAIS WA WANANCHI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UCHAMBUZI KUHUSU HATUA YA ODINGA KUAPISHA KUWA RAIS WA WANANCHI Serikali ya Kenya kupitia kwa Waziri wa Usalama, Dkt Fred Matiang’i, imelipiga marufuku kundi la National Resistance Movement (NRM) lililo chini ya Muungano wa Upinzani (NASA) nchini humo na kulitangaza kuwa ni kundi la kihalifu. Kundi hilo limeundwa baada ya Raila Odinga kususia uchaguzi wa marudio na limekuwa katika harakati za kutaka mabadiliko katika uchaguzi na kuwashawishi wananchi kususia bidhaa za makampuni ambayo yanadaiwa kuwa upande wa serikali ya nchi hiyo. Kauli ya Dokta Matiang'i imekuja siku moja baada ya Raila Odinga Kujiapisha kuwa rais wa wananchi wa Kenya na kuzusha tafrani kubwa kwenye jiji la Nairobi na sehemu nyingine za nchi hiyo. Subscribe muda huu / uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .