У нас вы можете посмотреть бесплатно Hii Yanga ni Bomu. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Tazama hii Build ya goli la pili la Dar Young Africans dhidi ya mashujaa... Mwamnyeto anaachia mpira...nani anayeupokea...a no.9...prince Dube...Yuko wapi no.8...duke abuya....ni pembeni kama winga...Tuachane na max nzengeli....Mpira unapotea....Mwangalie Damaro...anakimbia kutoka chini...kwenda juu kuweka presha....vivyo hivyo kwa max nzengeli na Pacome...wote wanaanza kukabia hapo hapo walipopoteza mpira...counter pressing Naweza kusema....anachojaribu kukifanya Coach pedro Concalves...ni kuitengeneza yanga ambayo....wachezaji watakuwa wanaibuka maeneo tofaut tofauti.....bila kuharibu muundo wa timu. Tazama video nzima kisha naomba SUBSCRIBE,LIKE,SHARE NA COMMENT hata emoji tu. #lielewesoka #yangasc #yangavsmashujaa #yangausajilimpya #yangaleo