У нас вы можете посмотреть бесплатно Mwabukusi Ang’aka vikali akisema "Kinachohitajika kwa Taifa Letu ni Haki, Ukweli na Uwajibikaji" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesisitiza umuhimu wa Taifa kuongozwa kwa misingi ya Haki, Ukweli na Uwajibikaji kama nguzo kuu za maendeleo na ustawi wa jamii. Mwabukusi ametoa wito kwa viongozi wa umma, vyombo vya dola, na wananchi kwa ujumla kutenda kwa uwazi na kuheshimu misingi ya utawala wa sheria. Amebainisha kuwa bila haki na uwajibikaji, taifa haliwezi kusonga mbele kwa amani na maendeleo endelevu. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.