У нас вы можете посмотреть бесплатно Safari ya или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwaka 2020 #MadeinTanzania imeweza kuweka nukta katika tasisi na viwanda mbalimbali vinavyochangia maisha ya mtu mmoja mmoja na pato la Taifa katika kutengeneza na kuboresha bidhaa za Kitanzania. Zipo changamoto na Fursa nyingi ambazo kwa kuzionyesha na kuwaunganisha wadau ni dalili njema katika kutafuta suluhisho la kudumu. Tunawashukuru wadau wote ambao wameshiriki vyema katika safari ya #MadeinTanzania kwa mwaka 2020. Pia tunashukuru sana kwa wale wote waliotoa maoni, likes na ambao wame-subscribe account yetu. Mwaka 2021 tutaendelea kuboresha safari ya #MadeinTanzania na bidhaa nyingi za Kitanzania zitapata kuonekana katika ubunifu, juhudi na umoja wa Watanzania wapambanaji. Asante 2020!