• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA скачать в хорошем качестве

UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA 4 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



UFUGAJI WA KUKU CHOTARA AINA YA SASSO KWA KUKU WA NYAMA

Kuku chotara wana faida nyingi sana katika kilimo cha biashara. Kuku chotara ni muunganiko au mchanganyiko wa aina mbili tofauti za kuku. ufugaji wa kuku wa nyama ufugaji wa kuku kuroiler ufugaji wa kuku chotara pdf ufugaji wa kuku chotara ufugaji wa kuku jamii forum ufugaji wa kuku wa kienyeji wenye tija ufugaji wa kuku katika eneo dogo ufugaji wa kuku 2021 Kuku hawa wana faida kadhaa kwako kama mjasiriamali mwenzetu: Kuku hawa wanastahimili magonjwa. Hii inakusaidia kupunguza gharama za kuwatibu. Kuku hawa wanataga mayai mengi tofauti na kuku wa kawaida wa kineyeji. Ukiwalisha vizuri wanaweza kutaga mpaka mayai 240 kwa mwaka, huu ukiwa ni wastani wa karibia yai 1 kwa siku. Kuku hawa hukua kwa haraka na wana uwezo wa kufikia uzito wa kilogramu 3 katika muda wa miezi 3. Unaweza kuwatumia hawa kuku kwa ajili ya kuuza kama nyama au kwa ajili ya kuzalisha mayai ya biashara. Unataka Kuwafuga Kuku Hawa Kibiashara? Basi zingatia mambo makuu mawili: Usiwaache kuku wako kuatamia mayai. Kufanya hivi unawapotezea kuku wako muda wa kutaga. Kusanya mayai yako yatie kwenye mashine ya kutotorea vifaranga. Au peleka kwa mfugaji mwenzako mwenye mashine (ambako utalipia gharama za kutotoresha kwa makubaliano). Tengeneza chakula cha kuku wewe mwenyewe badala ya kununua. Kumbuka biashara yenye faida inaangalia gharama za uzalishaji dhidi ya bei ya kuuzia. Hatua Za Ufugaji Wa Kuku Chotara Ili kufuga kuku chotara kwa ufanisi hakikisha unafanya mambo yafuatayo; Andaa banda ambalo linafaa kwa matumizi ya ufugaji wa kuku. Ukubwa wa banda uzingatie wingi wa kuku unaohitaji kufuga. Banda lako linatakiwa liwe linapitisha hewa ya kutosha. Tafuta kuku wa kienyeji matetea (majike) na jogoo la kisasa aina yoyote kisha wachanganye katika banda moja. Unaweza kuanza na majike 2 na jogoo 1. Hii itapelekea upate mayai chotara. Tumia mashine ya kutotoresha mayai ili kupata vifranga chotara. Kama haitawezekana kabisa tumia basi waache kuku waatamie mayai hayo. Baada ya wiki tatu (siku 21) vifaranga watakuwa tayari kutotolewa kwa kutumia matetea ya kuku wa kienyeji au mashine ya kutotolesha vifaranga. Kwa muda wa wiki tatu hadi nne vifaranga wako wanahitaji joto la kutosha kwa ajili ya ukuaji na afya njema hivyo hakikisha unatumia kinengunengu kuwatunza (soma makala juu ya kinengungu hapo juu). Vifaranga Wakiwa Tayari Chanjo Muhimu Inahitajika Ili Kuzuia Vifo Na Milipuko Ya Magonjwa Mbalimbali. Fuata hatua zifuatazo kuhakikisha vifaranga wako wanakua vyema: Siku ya kwanza hadi ya tatu tangu kutotolewa wapatie vifaranga glukosi na vitamini pamoja na chanjo za magonjwa ya Mahepe (Mareks disease) na Mdondo (Newcastle disease). Siku ya 10 wapatie chanjo ya ugonjwa wa Gumboro. Siku ya 18 wapatie tena chanjo ya ugonwja wa Gumboro. Siku ya 21 wapatie tena chanjo ya ugonjwa wa Mdondo. Wapatie pia chanjo ya ugonjwa wa ndui (fowl pox). Wiki ya 12 (siku ya 84) wapatie kuku wako chanjo ya ugonjwa wa homa ya matumbo (fowl typhoid). ANGALIZO: Usichanganye maji ya chanjo na vitamini au glukosi. Chanjo ifanyike wakati wa jioni au asubuhi. Kamwe chanjo isifanyike wakati wa mchana. Hakikisha huchanji kuku wagonjwa bali wenye afya. Ukishachanganya chanjo kwenye maji, kuku wanywe maji hayo kwa muda wa masaa mawili tu baada ya hapo mwaga mchanganyiko huo na osha vyombo vya maji na uweke maji safi yaliyochanganywa na vitamini. Tumia vyombo vya plastiki wakati wa kuchanganya na kuwapa kuku maji ya chanjo Wanyime kuku maji kwa masaa mawili kabla ya kuwapa maji ya chanjo. Weka kumbukumbu za chanjo uliyotumia ikiwemo toleo la chanjo (batch number). Vifaranga wapewe dawa ya kuzuia ugonjwa wa kuharisha damu (cocidiosis) kwa muda wa siku tatu mfululizo mara wafikishapo umri wa siku saba. Vifaranga wapewe dawa ya minyoo wafikishapo umri wa miezi miwili (siku 60) na baada ya hapo wapewe dawa ya minyoo kila baada ya miezi mitatu. #mkulimasmart #shambadarasa

Comments
  • SHAMBALULU: UFUGAJI KUKU WA MAYAI KISASA. 1 год назад
    SHAMBALULU: UFUGAJI KUKU WA MAYAI KISASA.
    Опубликовано: 1 год назад
  • KUKU NI PESA - KUKU WANALIPA 1 год назад
    KUKU NI PESA - KUKU WANALIPA
    Опубликовано: 1 год назад
  • Выгодно ли держать бройлера? 11 месяцев назад
    Выгодно ли держать бройлера?
    Опубликовано: 11 месяцев назад
  • Заявление депутата разошлось по сети и выбесило россиян. Даже избиратели в ярости: «Вы там уже о***» 12 часов назад
    Заявление депутата разошлось по сети и выбесило россиян. Даже избиратели в ярости: «Вы там уже о***»
    Опубликовано: 12 часов назад
  • Ufugaji wa Sasso | Sasso Hawatagi Vizuri | Sababu Hizi Hapa 6 лет назад
    Ufugaji wa Sasso | Sasso Hawatagi Vizuri | Sababu Hizi Hapa
    Опубликовано: 6 лет назад
  • ФЕРМА ДЛЯ БРОЙЛЕРОВ НОВОГО ПОКОЛЕНИЯ! НОВЫЙ ПОДХОД! 5 месяцев назад
    ФЕРМА ДЛЯ БРОЙЛЕРОВ НОВОГО ПОКОЛЕНИЯ! НОВЫЙ ПОДХОД!
    Опубликовано: 5 месяцев назад
  • HII HAPA BAJETI YA KUFUGA KUKU WA MAYAI. TAJIRIKA KUPITIA KUKU. 2 года назад
    HII HAPA BAJETI YA KUFUGA KUKU WA MAYAI. TAJIRIKA KUPITIA KUKU.
    Опубликовано: 2 года назад
  • DADA TAJIRI ALIYEANZA KUWA WINGA KARIAKOO - ANAINGIZA MAMILIONI KWENYE UFUGAJI MBUZI, KUKU  wa NYAMA 7 месяцев назад
    DADA TAJIRI ALIYEANZA KUWA WINGA KARIAKOO - ANAINGIZA MAMILIONI KWENYE UFUGAJI MBUZI, KUKU wa NYAMA
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • Ngowi TV-NILIANZA NA KUKU 13 TU, SASA HIVI NINA TENGENEZA MILIONI MBILI KILA WIKI 6 лет назад
    Ngowi TV-NILIANZA NA KUKU 13 TU, SASA HIVI NINA TENGENEZA MILIONI MBILI KILA WIKI
    Опубликовано: 6 лет назад
  • JINSI YA KUWA MILIONEA KWA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KUPITIA FORMULA YA 3+3 7 месяцев назад
    JINSI YA KUWA MILIONEA KWA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KUPITIA FORMULA YA 3+3
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • NILIANZA NA KUKU 50 WA KIENYEJI  SASA NINAUZA VIFARANGA 2500 KILA WIKI 6 лет назад
    NILIANZA NA KUKU 50 WA KIENYEJI SASA NINAUZA VIFARANGA 2500 KILA WIKI
    Опубликовано: 6 лет назад
  • Почему ТАКИХ кур, лучше НЕ ДЕРЖАТЬ в своем хозяйстве. 4 дня назад
    Почему ТАКИХ кур, лучше НЕ ДЕРЖАТЬ в своем хозяйстве.
    Опубликовано: 4 дня назад
  • #SILVERLANDS WANAKULETEA KUKU AINA YA SASSO KATIKA MAONESHO YA NANENANE   |    MBEYA 3 года назад
    #SILVERLANDS WANAKULETEA KUKU AINA YA SASSO KATIKA MAONESHO YA NANENANE | MBEYA
    Опубликовано: 3 года назад
  • NJIA RAHISI YA KUPATA VIFARANGA WENGI WA KIENYEJI KWA MUDA MFUPI 5 лет назад
    NJIA RAHISI YA KUPATA VIFARANGA WENGI WA KIENYEJI KWA MUDA MFUPI
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Куры и курятник: с чего начинать разведение и содержание кур 1 месяц назад
    Куры и курятник: с чего начинать разведение и содержание кур
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • SHAMBANI: UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI 5 лет назад
    SHAMBANI: UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Mzungu wa Kichaga 5 лет назад
    Mzungu wa Kichaga
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Kuroiler Wanataga Mapema, Mayai 260 na Uzito wa Kilo 5 3 года назад
    Kuroiler Wanataga Mapema, Mayai 260 na Uzito wa Kilo 5
    Опубликовано: 3 года назад
  • UKITAKA KUFANIKIWA SANA KATIKA UFUGAJI BASI FANYA HAYA NINAYOKUSHAURI👆 9 месяцев назад
    UKITAKA KUFANIKIWA SANA KATIKA UFUGAJI BASI FANYA HAYA NINAYOKUSHAURI👆
    Опубликовано: 9 месяцев назад
  • KATI YA SASSO NA KROILER ANAYEFAA KWA BIASHARA YA HARAKA YA NYAMA NI SASSO 6 месяцев назад
    KATI YA SASSO NA KROILER ANAYEFAA KWA BIASHARA YA HARAKA YA NYAMA NI SASSO
    Опубликовано: 6 месяцев назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5