У нас вы можете посмотреть бесплатно MABORESHO KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA IRINGA YAGUSA WANANCHI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Raphael Lucas Pawasa ni mkazi wa Mafinga mwenye changamoto ya figo ambapo hapo awali ilimlazimu kuhamia Dar- es -salaam ili aweze kupata huduma za kuchuja damu katika Hospitali ya Taifa Mhimbili . Mkazi huyo wa Mafinga anasema anaishukuru Serikali ya awamu ya 6 kwa kusogeza huduma za uchujaji figo katika Hospitali za Rufaa za Mikoa ambapo imewasaidia wananchi kutokusafiri umbali mrefu kufata huduma hizo za kuchujadamu ambapo kwa sasa huduma hiyo anaipata katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa.